WAFANYABIASHARA wadogo wa bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani, wamepata elimu ya utambuzi wa bidhaa na vifaa vyenye mionzi ikiwa ni hatua za kuwaelimisha ili watambue madhara ya mionzi na wajue jinsi ya kujikinga. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa...

read more