YANAYOJIRI NDANI YA TUME

Wataalam 80 Wanaotoa Huduma Katika Vyanzo vya Mionzi Nchini Wapata Mafunzo ya Usalama wa Mionzi Katika Maeneo ya Kazi
Jumla ya wataalam 80 wanaotoa huduma katika vyanzo vya mionzi kwa ajili ya uchunguzi na tiba kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini wanashiriki katika mafunzo ya Kitaifa ya Usalama wa Mionzi yanayoendeshwa na Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) jijini Arusha....
Tangazo la Mradi
Development of Radiometric Methods and Modelling For Measurement of Sediment Transport in Coastal Systems and Rivers (IAEA Coordinated Research Project) Code No. F22074 Maelezo Malengo ya Mradi huu (CRP) ni kuendeleza matumizi ya vyanzo vya mionzi ya asili katika...

Baadhi ya mafanikio ya Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia ndani ya nchi
Kwa miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Nguvu za atomiki Dunia (IAEA) imeweza kutekeleza miradi mbalimbali ya sayansi na tekinolojia ya nyuklia na kuleta mafanikio mbalimbali ndani ya nchi ikiwemo, afya,...
Wananchi wamepatiwa elimu ya matumizi salama ya mionzi kwenye maonesho ya nanenane mwaka 2020
Zaidi ya wananchi 1000 wamepata elimu ya majukumu ya kisheria Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) na namna ya matumizi salama ya teknolojia ya nyuklia inavyotumika nchini kwenye maonesho ya kitaifa ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya NaneNane yaliyofanyika...

TAEC yashiriki maonesho ya Nane Nane mwaka 2020
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) inashiriki kwenye maonesho ya Wakulima maarufu kama NANE NANE yanayofanyika kitaifa mkoa wa Simiyu katika viwanja vya Nyakabindi na katika mkoa wa Arusha kweye viwanja vya Taso. Ufunguzi wa maonesho hayo...
Maabara ya Kitaifa ya Uhakiki wa Vifaa vya Mionzi
TAEC maintains a dedicated National Calibration facility for calibrating all types of portable radiation monitoring instruments across a wide range of radiation types and levels. Instrument calibrations are performed using reference ionization Chamber and radiation...